MUUMINI WA KANISA LA EAGT BLOCKT MBEYA CITY CENTRE CHINI YA PASTOR ABIUDI MISHOR
PASTOR NA MWIMBANJI WA NYIMBO ZA INJILI ABIUD MISHORI AKIWA NA PASTOR YUGEN KAGORO WA EAGT IVUMWE.
MHUBIRI NA MWINJILIST WILLY AKIHUBIRI INJILI. NAHUM 1:9 INASEMA UNAWAZA NINI JUU YA BWANA. KTK MAISHA YAKO UNAWAZA NINI? JUU YA MUNGU MUUMBA MBINGU NA INCHI. KUMBUKA BWANA YESU AMETOA AHADI YA KULUDI KULICHUKUA KANISA YOHANA 14:2-3.
KATIKA HUDUMA HII AMBAYO MUNGU AMENITA KUHUBIRI UFALME WA MBIGUNI, WATU WENGI WAMEFUNGULIWA NIMEKUWA NIKIHUBIRI SEHEMU MBALIMBALI, KWA MDA WA MIENZI 4 MUNGU ALINIPA MZIGO WA HUDAMA KATIKA HOSPITAL YA RUFAA MBEYA. WENGINE WAMEFUNGULIWA. MDA SIO MLEFU NITAANZA HUDUMA GEREZANI.
UNAWE WEZA KUJIULIZA WILLY NINANI? BABA YAKE WA KIROHO NINANI? MIMI KAMA WILLY NIPO CHINI MCHUNGAJI NA MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INLILI ABIUD MISHORI. PIA MIMI NI MZEE WAKE WA KANISA PIA NI MWENYEKIT WA IDARA YA VIJANA.
NILIPATA WITO HUU MIAKA MINGI ILIYO PITA, LAKINI NILINYAMAZA, MPAKA BWANA ALIPO NIAMBIA NIANZE KAZI YAKE. INGAWA MIMI NI MTUMISHI MOJA YA BANK NCHINI.
KATIKA HUDUMA HII NIMEITIWA KUHUBIRI HABARI NJEMA, KILA MAHARI. KAMA UNAHITAJI KUHUDUMU KANISANI KWAKO UNAWEZA KUWASILIANA NA MIMI.
KATIKA HUDUMA HII, WATU WENGI WAMEFUNGULIWA KATIKA MATESO YAO, HII INAZIHILIKA KTK ISAYA 61:1-3 ROHO YA BWANA I JUU YANGU, BWANA IMENIPAKA MAFUTA KUWA WEKA HURU WALIO FUNGWA NA MANGONJA VIFUNGO MBALI MBALI.
SAA YA WOKOVU NINI SASA, SIO KESHO, BIBILIA INASEMA BADA YA KIFO NI HUKUMU. UKIFA HUNA NAFASI YA KUTUBU.
Mungu awabariki nyote pale Tanzania. tu nawasalimu na kushukuru kwa kazi zenu njema.
ReplyDelete